'Pungua kidogo, he! umenenepa sana, punguza kula, utapasuka', ni baadhi ya kauli zinazo tajwa na baadhi ya watu wanapo ona mtu ameongezeka mwili au ame nenepa kama wengi wanavyopenda kutafsiri. Kauli ...
Wanariadha takriban 250 waliokuwa wanashiriki mbio za half marathon nchini China walinaswa na kamera za siri wakitumia njia ya mkato kumaliza mbio hizo. Wengi walipitia vichakani na wengine kwenye ...