Nigeria na DR Kongo zimefuzu kwa hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON kwa ushindi dhidi ya Angola na Guinea. Sasa zinasubiria kati ya Cape Verde and Afrika Kusini, na ...