Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika kila baada ya miaka mitano kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano, Wabunge na Madiwani kwa upande wa Tanzania Bara. Zanzibar watakuwa na nyongeza ya kuchagua ...
Siku moja baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania, INEC, kutangaza kufunguliwa rasmi kwa zoezi la uchukuaji fomu za wagombea wa kiti cha urais wa Jamuhuri ya Muungano, mwenyekiti wa chama ...
Wakfu wa Thabo Mbeki, rais wa zamani wa Afrika Kusini umetoa tamko kuhusu uchaguzi wa hivi karibuni Tanzania na kueleza kwamba ulikosa misingi na miongozo inayosimamia chaguzi za kidemokrasia katika ...
Kwa mara ya kwanza tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi 1992, uchaguzi wa urais wa Tanzania wa mwaka 2025 utaendelea bila ushiriki wa vyama vikuu vya upinzani, hali inayokiacha chama tawala ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, siku ya Jumapili kimefutilia mbali ushindi mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi uliosababisha maandamano makubwa kote nchini kutokana ...