Tayeb ait Ighenbaz alilazimika kuchagua iwapo atamwokoa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 11 au wazazi wake waliponaswa na vifusi baada ya tetemeko la ardhi kutokea Morocco. Mchungaji wa mbuzi ...