Arusha. Sakata la ‘upigaji’ wa Sh400 milioni zinazodaiwa kuchotwa kwenye akaunti ya Umoja wa Bodaboda Mkoa wa Arusha (Uboma), limeingia sura mpya baada ya viongozi wa umoja huo kuililia Serikali ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Dar es Salaam. Mabosi wa Yanga kwa sasa wako katika mchakato wa kusaka kocha mpya atakayeinoa timu hiyo kwa msimu ujao, baada ya Miloud Hamdi aliyeipa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, Alhamisi ya Julai 17, 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Dira hiyo inayoitwa ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Mafundi wakiwa wanaendelea na shughuli za ujenzi wa karavati katika eneo la Kwa Kichwa Kata ya Zingiziwa, Ilala jijini Dar es Salaam Dar es Salaam. Eneo korofi maarufu ‘Kwa Kichwa’ lililopo Kata ya ...
Dar es Salaam. Mondi anakawaida ya kutoa wimbo kila wiki. Na siyo kutoa tu. Na wimbo 'ukahiti'. Yaani 'everi wiki anaririizi traki na inaenda vairo'. Jamaa kashika kila kitu kinachohusu muziki. Kuna ...
Dar es Salaam. Baada ya kifo cha Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, Askofu Dk Benson Bagonza amesema walikuwa ...
Pacome Zouzoua na Clement Mzize wamekuwa mashujaa wa Yanga leo hii baada ya kuiongoza timu yao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yaliyoihakikisha timu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results