Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 ...
Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa chama cha ACT-Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mdeme, ...
TAASISI ya Jamii Foundation kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, pamoja na wanawsake wa mkoa huo, ...
MAREKANI imezionya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwamba upo uwezekano wa kuwawekea vikwazo maofisa wao.
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, wamejadili taarifa mbalimbali kwenye kikao cha baraza cha robo ya pili, kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya wananchi na halmashauri hiyo. Kikao h ...
MRADI wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, linalojengwa mkoani Morogoro litakuwa na uwezo wa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 190 za ...
Located in China's northernmost province of Heilongjiang, Harbin Ice-Snow World, a breathtaking ice-themed park known for its ...
NCHI nane kutoka Afrika na Ulaya zinatarajia kushiriki maonesho ya kwanza ya teknolojia ya nguvu ya nishati na umeme jadidifu ...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeandika historia kwa kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kidunda, lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini, mkoani Morogoro. Mr ...
MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Choma, Halmashauri ya Ushetu, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ...
SHEKHE Ponda Issa Ponda na wenzake 11 wameomba mahakama wafanye marekebisho kwenye hati ya madai kumwondoa Yustadhi Twalib ...
BUNGE limetoa maazimio matano kuhusu uzalishaji wa sukari na mafuta ya kula nchini baada ya kubaini hautoshelezi na kusababisha kuagizwa kwa shehena za bidhaa hizo nje ya nchi. Akiwasilisha jana bunge ...